Other jobs

Nafasi ya Kazi: Dereva (Driver)

Nov 28, 2025 - 13:36
Oct 16, 2026 - 20:07
2 min read
 0  0
TEF Consult Dar es salaam Full Time
Nafasi ya Kazi

Muhtasari wa Kazi

TEF Consult inatangaza nafasi ya kazi kwa ajili ya Dereva mwenye weledi, uwajibikaji, na uwezo wa kuendesha magari kwa usalama na uangalifu. Muombaji atakayechaguliwa atahakikisha usalama wa abiria, mizigo, na gari, kufanya ukaguzi wa magari kabla na baada ya safari, pamoja na kutoa taarifa za matengenezo inapohitajika.

Sifa za Muombaji(Qualifications)

Mwombaji anatakiwa kuwa na sifa zifuatazo:

  1. Umri kuanzia miaka 25 na kuendelea.

  2. Ujuzi wa ufundi wa magari na awe na cheti cha ufundi daraja A (Mechanics Certificate).

  3. Leseni halali ya udereva yenye madaraja C na E.

  4. Cheti cha Defensive Driving kinachotambulika.

  5. Cheti cha kuendesha magari maalum (faraja ya ziada).

  6. Cheti cha NIT (National Institute of Transport) kitahesabika kama faida zaidi.

Nyaraka za Kuambatanisha (Required Documents)

Waombaji wanapaswa kuwasilisha:

 

  • Barua ya maombi ya kazi

  • Nakala ya leseni ya udereva

  • Nakala ya kitambulisho cha NIDA

  • CV (Curriculum Vitae)

  • Cheti cha LATRA

  • Police Clearance (Uthibitisho wa kutokuwa na makosa ya jinai)

  • Mahali ulipo kwa sasa (Current location)

Jinsi ya Kuomba

Mada ya barua (Subject): Maombi ya Kazi – Dereva (Driver)

Human Resource Manager

Tanzania Empowerment Forum Limited (TEF Consult)
 Email: info@tef.co.tz 

au kwa barua 
 P.O. Box 33542, Dar es Salaam, Tanzania
Or

Online Application:

Mwisho ni  16/ Disemba 2025.

Job Snapshot

  • Employer: TEF Consult
  • Department: transport
  • Location: Dar es salaam
  • Job type: Full Time

How to Apply

Apply for this vacancy through the steps on this Jobconnect job post. You can also submit your CV, certificates and a clear contact phone number by email to info@tef.co.tz. Source listing: https://tef.co.tz/job/nafasi-ya-kazi-dereva-driver/.

Jobconnect application guidance

Before applying for Nafasi ya Kazi, review the requirements carefully, tailor your CV to the role, and follow the instructions shown in the advert.

1 Match your CV Highlight the skills, qualifications, and achievements that directly relate to this role. Avoid sending a generic CV.
2 Apply safely Use the application instructions provided in the advert. Never pay money to get a job, interview, or application form.
3 Prepare evidence Keep certificates, references, portfolio links, and measurable work examples ready before submitting.
4 Track your application Note the location: Dar es salaam. Save the job, record the deadline, and follow up only through official channels.
Quick readiness check
  • Identify 2-3 requirements from the advert and make sure they are clearly visible in your CV, cover letter, or application message.
  • Prepare a short application message that mentions the exact job title and why you fit the role.
  • Keep your phone and email active after applying so you do not miss interview or assessment updates.
CV hints for this job

For Nafasi ya Kazi: Dereva (Driver) at TEF Consult, align your CV with the location and role context: Dar es salaam.

Professional summary Start with a short summary that mentions the target role, your strongest matching experience, and the value you bring.
Key skills Add 6-10 skills that match the advert. Avoid unrelated skills that distract from the role.
Experience bullets Put your driving license class, years of experience, vehicle types, route knowledge, and safety record clearly.
Proof of fit Mention defensive driving, vehicle inspection, logbooks, customer service, and accident-free history where true.
Possible CV keywords: Nafasi Dereva Driver Other Mwombaji Anatakiwa
Maswali ya kujiandaa nayo

Maswali ya mazoezi ya Jobconnect, si maswali rasmi kutoka kwa mwajiri. Majibu yaeleze uzoefu wako halisi.

Hitaji la tangazo: Umri kuanzia miaka 25 na kuendelea. Ni kazi zipi ulizofanya zinazothibitisha uzoefu unaotajwa hapa? Eleza muda wa kazi, jukumu lako, hatua ulizochukua na matokeo. Usihesabu mara mbili vipindi vinavyopishana.

Hitaji la tangazo: Mwombaji anatakiwa kuwa na sifa zifuatazo. Ungethibitishaje uwezo wako katika hitaji hili kwa mfano halisi? Eleza kazi, hatua zako, vifaa au mifumo uliyotumia na matokeo. Usidai uzoefu ambao huna.

Hitaji la tangazo: Ujuzi wa ufundi wa in the advertised role magari na awe na for this vacancy cheti cha ufundi daraja A Mechanics Certificate. Elimu au mafunzo yako yanalinganaje na hitaji hili? Taja sifa halisi, taasisi na hali ya kukamilisha. Usidai sifa mbadala zinakubalika bila maelekezo ya mwajiri.

Hitaji la tangazo: Leseni halali ya udereva for this vacancy yenye madaraja C na E. Una usajili au leseni ipi inayolingana na hitaji hili, na hali yake ya sasa ni ipi? Taja aina, mamlaka iliyotoa na uhalali wake. Usiweke namba binafsi za hati kwenye jibu la umma.

Hitaji la tangazo: Cheti cha Defensive Driving kinachotambulika. Elimu au mafunzo yako yanalinganaje na hitaji hili? Taja sifa halisi, taasisi na hali ya kukamilisha. Usidai sifa mbadala zinakubalika bila maelekezo ya mwajiri.

Swali la jumla la mazoezi Ni sehemu ipi ya tangazo inahitaji ufafanuzi kutoka kwa mwajiri? Andaa swali kuhusu jambo lisilo wazi katika tangazo; usibuni mshahara au masharti.

Swali la jumla la mazoezi Ni jambo gani ungehitaji kujifunza ili kufanya kazi hii vizuri? Eleza pengo kwa uaminifu na hatua halisi za kujifunza.

AL View sample application letter Dynamic draft tailored to this job post. Edit it before sending.
Use this as a starting point only. Replace placeholders with your real details, add your strongest achievements, and match the final wording to the employer instructions.

Enter your applicant details

The preview and downloaded Word letter update as you type.

Language & Tone Template Customization Switch between Swahili or English and choose the appropriate letter tone.
Changing the template updates the recipient, subject, and letter wording. PSRS uses the address written in the advert PDF when available.
Applicant details Enter your personal information as you want it to appear at the top of the letter.
Recipient details We have prefilled what is available from the advert. Every recipient line can be corrected before download.
Tailor your professional background Only completed fields are added to the letter. Use facts that match your CV and supporting documents.
Handwritten signature (optional) Upload a clear photo or scan. Background removal and cropping happen automatically.
Your cleaned signature preview will appear here.
PNG, JPG or WebP, up to 5 MB.
These details stay in your browser and are not saved by Jobconnect.
Rasmi / Kampuni
YOUR NAME,
PHYSICAL ADDRESS (E.G. MOROGORO, TANZANIA).
OCTOBER 16, 2026.
MENEJA RASILIMALI WATU,
TEF CONSULT,
DAR ES SALAAM.
Ndugu Mheshimiwa,
YAH: MAOMBI YA NAFASI YA NAFASI YA KAZI

Kwa heshima naomba kuwasilisha maombi yangu kwa nafasi ya Nafasi ya Kazi. Baada ya kusoma vigezo vya tangazo, ninaamini ninafaa kwa kazi hii kutokana na elimu, ujuzi na uzoefu wangu.

Uzoefu wangu unahusiana na kazi ya Nafasi ya Kazi. Ninaweza kufanya kazi kwa umakini, kushirikiana na wenzangu, na kutekeleza maelekezo kwa uaminifu. Ninategemea kuonyesha uwezo wangu kuhusu Umri kuanzia miaka 25 in the advertised role na kuendelea Ujuzi wa in the advertised role ufundi wa magari na for this vacancy awe na cheti cha for th.

Nimevutiwa na nafasi hii kwa sababu inanipa fursa ya kutumia uwezo wangu, kusaidia malengo ya taasisi, na kuendelea kukua kazini.

Nimeambatanisha CV yangu pamoja na vyeti vinavyohitajika. Nitashukuru kupata nafasi ya kuitwa kwenye usaili.

Ahsante kwa kuzingatia maombi yangu.

Wako mwaminifu,
___________________
(Weka sahihi yako ya mkono hapa)
YOUR NAME
  How to Apply Guide Create account to build CV
How to apply for this job

For Nafasi ya Kazi, use the method in this advert.

Email Application info@tef.co.tz
  1. How to Apply Apply for this vacancy through the steps on this Jobconnect job post. You can also submit your CV, certificates and a clear contact phone number by email to info@tef.co.tz. Source listing: https://tef.co.tz/job/nafasi-ya-kazi-dereva-driver
  2. Prepare a PDF cover letter and CV named with your full name.
  3. Email your application to info@tef.co.tz using the subject line for Nafasi ya Kazi: Dereva (Driver).
  4. Attach only the documents listed in this advert. Apply as soon as possible.
  5. Never pay for a form, interview, medical check, or job offer.
Prepare these documents Curriculum Vitae (CV) Cover Letter / Barua ya Maombi Academic Certificates & Transcripts (Certified Copies) National ID / NIDA / Birth Certificate Valid Driving License
Application details

How to Apply Apply for this vacancy through the steps on this Jobconnect job post. You can also submit your CV, certificates and a clear contact phone number by email to info@tef.co.tz. Source listing: https://tef.co.tz/job/nafasi-ya-kazi-dereva-driver/.

Job Authenticity & Safety Guidance
Authenticity Checked

Legitimate employers in Tanzania and Jobconnect Portal will NEVER charge job seekers money for application forms, uniform fees, medical checks, or interview guarantees.

USILIPE HELA! Never send M-Pesa, Tigo Pesa, or Airtel Money to any recruiter or personal phone number.