AFISA RASILIMALIWATU MWANDAMIZI
Jobconnect analysis
The requirements below come from this advert. The accompanying CV suggestions are Jobconnect advice, not additional employer requirements.
Selected requirements and CV evidence
| Advertised requirement | Suggested evidence, if applicable |
|---|---|
| Kuajiriwa Wahitimu wenye Shahada ya Kwanza katika mojawapo ya fani zifuatazo; Utawala wa Umma, Usimamizi wa Rasilimaliwatu, Mipango na Usimamizi wa Rasilimaliwatu, au sifa zinazolingana na hizo (related fields) kutoka katika taasisi zinazotambuliwa na Serikali, pamoja na uzoefu wa kazi usiopungua miaka saba (7) katika usimamizi wa Rasilimaliwatu. Aidha, mwombaji lazima awe amefanya na kufaulu Mtihani wa Umahiri (Human Resource Officer's Proficiency Examination - PHR). Vilevile, mwombaji awe mtumishi wa Umma aliyefanya kazi kwa Mwajiri wa sasa kwa kipindi cha muda usiopungua miaka mitatu na awe tayari kujigharamia gharama za uhamisho. | List relevant roles with month and year dates, and describe the work that matches this experience requirement. Do not count overlapping roles twice. |
Application readiness checklist
- Advertised closing date: Sep 17, 2026. Check the employer instructions for the closing time.
- Use the application channel linked in this advert and check that the role and employer match before sending documents.
Post Details
Company:
Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS)
Positions:
5 Positions
Application Period:
04/09/2026 - 17/09/2026
Duties and Responsibilities
Kufuatilia na kusimamia uzingatiaji wa Sheria za kazi, Kanuni za Kudumu za Utumishi wa Umma (Standing Orders), Kanuni na Taratibu za Watumishi, pamoja na maelekezo, miongozo na nyaraka mbalimbali kuhusu masuala ya utumishi;
Kutunza kumbukumbu za watumishi kwa mujibu wa taratibu na miongozo iliyowekwa;
Kushiriki katika maandalizi, utekelezaji na ufuatiliaji wa bajeti ya mwaka ya Kanda;
Kutekeleza majukumu ya usimamizi wa watumishi, kuratibu pamoja na kuandaa vikao;
Kushughulikia na kusimamia masuala ya kinidhamu kwa mujibu wa Sheria, Kanuni na Taratibu zilizowekwa;
Kusaidia kukadiria na kupanga mahitaji ya rasilimaliwatu ya PSRS;
Kushiriki katika uchambuzi wa mahitaji ya mafunzo na maandalizi ya Mpango wa Bajeti ya Maendeleo na Mafunzo ya Rasilimaliwatu (HRDT);
Kuandaa rasimu za waraka, maelekezo, matangazo na nyaraka nyingine zinazohusu masuala ya watumishi;
Kusimamia utekelezaji wa MMfumo wa Upimaji na Tathmini ya Utendaji kazi wa watumishi (PEPMIS); na
Kutekeleza majukumu mengine yanayohusiana na majukumu yake atakayopangiwa na msimamizi;
Qualifications
Kuajiriwa Wahitimu wenye Shahada ya Kwanza katika mojawapo ya fani zifuatazo; Utawala wa Umma, Usimamizi wa Rasilimaliwatu, Mipango na Usimamizi wa Rasilimaliwatu, au sifa zinazolingana na hizo (related fields) kutoka katika taasisi zinazotambuliwa na Serikali, pamoja na uzoefu wa kazi usiopungua miaka saba (7) katika usimamizi wa Rasilimaliwatu. Aidha, mwombaji lazima awe amefanya na kufaulu Mtihani wa Umahiri (Human Resource Officer’s Proficiency Examination - PHR). Vilevile, mwombaji awe mtumishi wa Umma aliyefanya kazi kwa Mwajiri wa sasa kwa kipindi cha muda usiopungua miaka mitatu na awe tayari kujigharamia gharama za uhamisho.
Remuneration
PSRS 6
Jobconnect application guidance
Before applying for AFISA RASILIMALIWATU MWANDAMIZI, review the requirements carefully, tailor your CV to the role, and follow the instructions shown in the advert before Sep 17, 2026.
- Identify 2-3 requirements from the advert and make sure they are clearly visible in your CV, cover letter, or application message.
- Prepare a short application message that mentions the exact job title and why you fit the role.
- Keep your phone and email active after applying so you do not miss interview or assessment updates.
CV hints for this job
For AFISA RASILIMALIWATU MWANDAMIZI at Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS), align your CV with the location and role context: Tanzania.
Maswali ya kujiandaa nayo
Maswali ya mazoezi ya Jobconnect, si maswali rasmi kutoka kwa mwajiri. Majibu yaeleze uzoefu wako halisi.
Hitaji la tangazo: Kuajiriwa Wahitimu wenye Shahada ya Kwanza katika mojawapo ya fani zifuatazo; Utawala wa Umma, Usimamizi wa Rasilimaliwatu, Mipango na Usimamizi wa Rasilimaliwatu, au sifa zinazolingana na hizo (related fields) kutoka katika taasisi zinazotambuliwa na Serikali, pamoja na uzoefu wa kazi usiopungua miaka saba (7) katika usimamizi wa Rasilimaliwatu. Aidha, mwombaji lazima awe amefanya na kufaulu Mtihani wa Umahiri (Human Resource Officer's Proficiency Examination - PHR). Vilevile, mwombaji awe mtumishi wa Umma aliyefanya kazi kwa Mwajiri wa sasa kwa kipindi cha muda usiopungua miaka mitatu na awe tayari kujigharamia gharama za uhamisho. Elimu au mafunzo yako yanalinganaje na hitaji hili? Taja sifa halisi, taasisi na hali ya kukamilisha. Usidai sifa mbadala zinakubalika bila maelekezo ya mwajiri.
Swali la jumla la mazoezi Ni sehemu ipi ya tangazo inahitaji ufafanuzi kutoka kwa mwajiri? Andaa swali kuhusu jambo lisilo wazi katika tangazo; usibuni mshahara au masharti.
Swali la jumla la mazoezi Ni jambo gani ungehitaji kujifunza ili kufanya kazi hii vizuri? Eleza pengo kwa uaminifu na hatua halisi za kujifunza.
Swali la jumla la mazoezi Eleza wakati uliposhirikiana na wengine kutatua changamoto. Tenganisha mchango wako na mchango wa timu.
Swali la jumla la mazoezi Unapangaje kazi unapokuwa na majukumu yanayoshindana? Toa mfano halisi wa vipaumbele, mawasiliano na matokeo.
View sample application letter Dynamic draft tailored to this job post. Edit it before sending.
Enter your applicant details
The preview and downloaded Word letter update as you type.
Kwa heshima naomba kuwasilisha maombi yangu kwa nafasi ya AFISA RASILIMALIWATU MWANDAMIZI. Baada ya kusoma vigezo vya tangazo, ninaamini ninafaa kwa kazi hii kutokana na elimu, ujuzi na uzoefu wangu.
Uzoefu wangu unahusiana na kazi ya AFISA RASILIMALIWATU MWANDAMIZI. Ninaweza kufanya kazi kwa umakini, kushirikiana na wenzangu, na kutekeleza maelekezo kwa uaminifu. Ninategemea kuonyesha uwezo wangu kuhusu Kuajiriwa Wahitimu wenye Shahada ya Kwanza katika mojawapo ya fani zifuatazo; Utawala wa Umma, Usimamizi wa Rasilimaliwatu, Mipango na Usimamizi wa Ra.
Nimevutiwa na nafasi hii kwa sababu inahusiana na majukumu kama Kufuatilia na kusimamia uzingatiaji wa Sheria za kazi, Kanuni za Kudumu za Utumishi wa Umma (Standing Orders), Kanuni na Taratibu za Watumishi, pamoja na maelekezo, miong.... Niko tayari kujifunza haraka, kuwasiliana vizuri, na kutekeleza kazi kwa uaminifu ili kusaidia malengo ya taasisi.
Nimeambatanisha CV yangu pamoja na vyeti vinavyohitajika. Nitashukuru kupata nafasi ya kuitwa kwenye usaili kabla ya tarehe ya mwisho ya maombi Sep 17, 2026.
Ahsante kwa kuzingatia maombi yangu.
Review the full advert on Ajira Portal, then log in there to apply.
Never pay money to secure a job or interview. Jobconnect Portal only shares job information and is not affiliated with, endorsed by, or responsible for any employer, recruiter, or third party involved in the recruitment process.