NAFASI ZA AJIRA – KEY ACCOUNT EXECUTIVE (KAE)
Dhima ya Nafasi
TEF Consult inakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa, uwezo na ari ya kufanya kazi katika nafasi ya Key Account Executive (KAE) katika Kitengo cha Mauzo.
Taarifa za Nafasi
Nafasi: Key Account Executive (KAE)
Kitengo: Mauzo
Idadi ya Nafasi: Watu 50
Eneo la Kazi: Dar es Salaam
Kutoa na kusimamia huduma za Lipa kwa Simu / Lipa Namba kwa wafanyabiashara wakubwa na wa kati, kuhakikisha huduma zilizosajiliwa zinafanya kazi ipasavyo, kujenga mahusiano mazuri na wafanyabiashara pamoja na kuchangia ukuaji wa mauzo.
Vigezo vya Mwombaji
Mwombaji anatakiwa:
- Awe na Diploma au Shahada katika Mauzo, Biashara, Usimamizi wa Biashara au fani nyingine inayohusiana na masuala ya mauzo.
- Awe na uzoefu katika shughuli za mauzo.
- Awe na uwezo wa kujisimamia na kufanya kazi kwa weledi.
- Awe mwenye nidhamu, bidii na uwezo mzuri wa kuwasiliana na wateja.
- Awe na uwezo wa kutumia kompyuta.
- Awe tayari kufanya kazi kwa malengo na kufikia viwango vya mauzo vilivyowekwa.
Majukumu Makuu
- Kutoa huduma za Lipa kwa Simu / Lipa Namba kwa wafanyabiashara wakubwa na wa kati.
- Kuhakikisha huduma za Lipa kwa Simu/Lipa Namba zilizosajiliwa zinafanya kazi ipasavyo kwa wafanyabiashara.
- Kujenga na kudumisha ushirikiano mzuri kati ya wafanyabiashara na kampuni.
- Kufuatilia na kusaidia kutatua changamoto zinazowakabili wafanyabiashara wanaotumia huduma hizo.
- Kuchangia katika kuongeza matumizi ya huduma na kufikia malengo ya mauzo ya kampuni.
- Kutoa huduma bora na msaada unaohitajika kwa wafanyabiashara.
Malipo
- Fixed Allowance
- Commission Based
Jinsi ya Kutuma Maombi
Waombaji wenye sifa wanakaribishwa kutuma Wasifu (CV) kupitia mawasiliano yafuatayo:
Project Manager: Johanes Wambura
Simu / WhatsApp: 0675 467 878
Barua pepe: wambura@tefconsult.co.tz
Au
Online Application:
Job Snapshot
- Employer: TEF Consult
- Department: Sales & Distribution (S&D)
- Location: Dar es salaam, tanzania
- Job type: Part Time
How to Apply
Apply for this vacancy through the steps on this Jobconnect job post. You can also submit your CV, certificates and a clear contact phone number by email to info@tef.co.tz. Source listing: https://tef.co.tz/job/nafasi-za-ajira-key-account-executive-kae/.
Jobconnect application guidance
Before applying for NAFASI ZA AJIRA, review the requirements carefully, tailor your CV to the role, and follow the instructions shown in the advert.
- Identify 2-3 requirements from the advert and make sure they are clearly visible in your CV, cover letter, or application message.
- Prepare a short application message that mentions the exact job title and why you fit the role.
- Keep your phone and email active after applying so you do not miss interview or assessment updates.
CV hints for this job
For NAFASI ZA AJIRA – KEY ACCOUNT EXECUTIVE (KAE) at TEF Consult, align your CV with the location and role context: Dar es salaam, tanzania.
Maswali ya kujiandaa nayo
Maswali ya mazoezi ya Jobconnect, si maswali rasmi kutoka kwa mwajiri. Majibu yaeleze uzoefu wako halisi.
Swali la jumla la mazoezi Ni sehemu ipi ya tangazo inahitaji ufafanuzi kutoka kwa mwajiri? Andaa swali kuhusu jambo lisilo wazi katika tangazo; usibuni mshahara au masharti.
Swali la jumla la mazoezi Ni jambo gani ungehitaji kujifunza ili kufanya kazi hii vizuri? Eleza pengo kwa uaminifu na hatua halisi za kujifunza.
Swali la jumla la mazoezi Eleza wakati uliposhirikiana na wengine kutatua changamoto. Tenganisha mchango wako na mchango wa timu.
Swali la jumla la mazoezi Unapangaje kazi unapokuwa na majukumu yanayoshindana? Toa mfano halisi wa vipaumbele, mawasiliano na matokeo.
Swali la jumla la mazoezi Kwa nini unapenda nafasi hii? Rejea jukumu lililoelezwa katika tangazo na malengo yako, si taarifa za kubuni kuhusu mwajiri.
View sample application letter Dynamic draft tailored to this job post. Edit it before sending.
Enter your applicant details
The preview and downloaded Word letter update as you type.
Kwa heshima naomba kuwasilisha maombi yangu kwa nafasi ya NAFASI ZA AJIRA. Baada ya kusoma vigezo vya tangazo, ninaamini ninafaa kwa kazi hii kutokana na elimu, ujuzi na uzoefu wangu.
Uzoefu wangu unahusiana na kazi ya NAFASI ZA AJIRA. Ninaweza kufanya kazi kwa umakini, kushirikiana na wenzangu, na kutekeleza maelekezo kwa uaminifu. Ninategemea kuonyesha uwezo wangu kuhusu Part Time | Dar es salaam, tanzania | Sales & Distribution (S&D).
Nimevutiwa na nafasi hii kwa sababu inanipa fursa ya kutumia uwezo wangu, kusaidia malengo ya taasisi, na kuendelea kukua kazini.
Nimeambatanisha CV yangu pamoja na vyeti vinavyohitajika. Nitashukuru kupata nafasi ya kuitwa kwenye usaili.
Ahsante kwa kuzingatia maombi yangu.
How to apply for this job
For NAFASI ZA AJIRA, use the method in this advert.
- Jinsi ya Kutuma Maombi Waombaji wenye sifa wanakaribishwa kutuma Wasifu (CV) kupitia mawasiliano yafuatayo: Project Manager: Johanes Wambura Simu / WhatsApp: 0675 467 878 Barua pepe: wambura@tefconsult.co.tz Au Online Application: Job Snapshot Employer: TEF Consult Department: Sales & Distribution (S&D)
- Open WhatsApp and message +255 675 467 878 about NAFASI ZA AJIRA – KEY ACCOUNT EXECUTIVE (KAE).
- Send your CV as a PDF. Do not share PINs, NIDA passwords, or extra identity documents.
- If anyone asks for M-Pesa, Tigo Pesa, or Airtel Money, stop immediately.
- Never pay for a form, interview, medical check, or job offer.
Jinsi ya Kutuma Maombi Waombaji wenye sifa wanakaribishwa kutuma Wasifu (CV) kupitia mawasiliano yafuatayo: Project Manager: Johanes Wambura Simu / WhatsApp: 0675 467 878 Barua pepe: wambura@tefconsult.co.tz Au Online Application: Job Snapshot Employer: TEF Consult Department: Sales & Distribution (S&D)
Legitimate employers in Tanzania and Jobconnect Portal will NEVER charge job seekers money for application forms, uniform fees, medical checks, or interview guarantees.